(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
103 - AL - A'S'R |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
1. | Naapa kwa Zama! |
2. | Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara, |
3. | Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri. |