(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
113 - AL - FALAQ |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
1. | Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, |
2. | Na shari ya alivyo viumba, |
3. | Na shari ya giza la usiku liingiapo, |
4. | Na shari ya wanao pulizia mafundoni, |
5. | Na shari ya hasidi anapo husudu. |