(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
105 - AL - FIIL |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
1. | Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo? |
2. | Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika? |
3. | Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi, |
4. | Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni, |
5. | Akawafanya kama majani yaliyo liwa! |