(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
![]() ![]() (SWAHILI) QURAN |
112 - AL - IKHLAS' |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
![]() ![]() ![]() ![]() |
1. | Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. |
2. | Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. |
3. | Hakuzaa wala hakuzaliwa. |
4. | Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. |