(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
109 - AL - KAFIRUN |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
1. | Sema: Enyi makafiri! |
2. | Siabudu mnacho kiabudu; |
3. | Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. |
4. | Wala sitaabudu mnacho abudu. |
5. | Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. |
6. | Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. |