(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
108 - AL - KAWTHAR |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
1. | Hakika tumekupa kheri nyingi. |
2. | Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi. |
3. | Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu |