(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
107 - AL - MAAU'N |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
1. | Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo? |
2. | Huyo ndiye anaye msukuma yatima, |
3. | Wala hahimizi kumlisha masikini. |
4. | Basi, ole wao wanao sali, |
5. | Ambao wanapuuza Sala zao; |
6. | Ambao wanajionyesha, |
7. | Nao huku wanazuia msaada. |