(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
![]() ![]() (SWAHILI) QURAN |
110 - ANNAS'R |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
![]() ![]() ![]() ![]() |
1. | Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, |
2. | Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, |
3. | Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. |