(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
114 - ANNAS |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
1. | Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, |
2. | Mfalme wa wanaadamu, |
3. | Mungu wa wanaadamu, |
4. | Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas, |
5. | Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu, |
6. | Kutokana na majini na wanaadamu. |