(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
| 94 - ASH-SHARH' |
| KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
|
| 1. | Hatukukunjulia kifua chako? |
| 2. | Na tukakuondolea mzigo wako, |
| 3. | Ulio vunja mgongo wako? |
| 4. | Na tukakunyanyulia utajo wako? |
| 5. | Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi, |
| 6. | Hakika pamoja na uzito upo wepesi. |
| 7. | Na ukipata faragha, fanya juhudi. |
| 8. | Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie. |