(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
| 102 - AT-TAKAATHUR |
| KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
|
| 1. | Kumekushughulisheni kutafuta wingi, |
| 2. | Mpaka mje makaburini! |
| 3. | Sivyo hivyo! Mtakuja jua! |
| 4. | 4, Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua! |
| 5. | Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini, |
| 6. | Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu! |
| 7. | Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini. |
| 8. | Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema. |