(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
1 - AL-FAATIH'A |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
1. | KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
2. | Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; |
3. | Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; |
4. | Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo. |
5. | Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada. |
6. | Tuongoe njia iliyo nyooka, |
7. | Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea. |