(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
(SWAHILI) QURAN |
106 - QURAISH |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
1. | Kwa walivyo zoea Maqureshi, |
2. | Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. |
3. | Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, |
4. | Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. |